Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo , Profesa Paramagamba Kabudi pamoja na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Novemba 18, 2025
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.




