Baada ya Kushindwa "Kulitumia" Jwtz Sasa Wamekuja na "Uzushi" Mpya Kwamba Jeshi la Uganda(Updf)Lipo Nchini
George Michael Uledi. October 23,2025. Wanaharakati wa Chadema walio Nje ya Nchi (Sweden Kenya na Marekani) wakishirilkiana na Viongozi wa Chadema wa ndani ya Nchi wamekuwa kwenye kutekeleza "mradi" wao ili Nchi iingie kwenye machafuko. No Reforms No Election Part II ndio ipo katika execution kuelelea Uchaguzi Mkuu wa October 29,2025. Malengo Makuu Matatu ya No Reforms No Election ni (I)kuhamasisha maandamano ili(II)kuvuruga Uchaguzi Mkuu October,2025 (III)kuishinikiza Serikali kufanya mabadiliko ya lazima ambayo wanayataka wao(KATIBA MPYA). MPANGO UNACHORWA HIVI👇🏾👇🏾 I.Strategy ya kwanza ilikuwa ni kuchonganisha vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama (JWTZ vs Jeshi la Polisi).Wakasema Jeshi la Wananchi(TPDF)lipo nyuma ya Mwananchi hivyo watu wengi watoke October 29,2025 kwenda kwenye Maandamano na eti hakuna Polisi atakayewagusa. Baada ya kuona Jeshi la Wananchi (JWTZ)limekataa kuwa sehemu ya SIASA kwa matamko mawili ya Kaimu Msemaji Mkuu wa Jeshi,JWTZ wakawa tayari ya...