Skip to main content

Posts

Showing posts from February 5, 2025

@marato_tv

@marato_tv
#sauti_ya_jamii

Kishindo cha Ccm Utambulisho wa Wagombea Wake Haijawahi Kutokea

 Picha za Matukio mbalimbali ya Sherehe ya kutimia Miaka 48 ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Zilizofanyika katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma tarehe 05 Februari 2025.

Mgodi wa Ndolela mwanga mpya kwa wananchi

_•       Waanza ujenzi wa Zahanati kuondoa kero kwa wananchi_ _•       Wasaidia upatikanaji wa urahisi wa kokoto katika marekebisho ya ujenzi wa barabara ya Iringa, Dodoma_ MGODI wa Mawe wa Ndolela Quarry uliopo kijiji cha Ndolela jimbo la Isimani mkoani Iringa umeanza ujenzi wa Zahanati kwa kushirikiana na wananchi ambayo itaondoa adha  ya  wananchi hao kutembea umbali mrefu kufuata huduma za afya. Akizungumza katika mahojiano maalum, Mwenyekiti Mtendaji wa Kijiji cha Ndolela, Majuto Dumicus amesema Zahanati hiyo ikikamilika itaweza kuhudumia Kaya 377 zilizopo katika eneo hilo. Amesema, ujenzi wa Zahanati hiyo ni kutimiza takwa la kisheria  na Kanuni za Wajibu wa Wamiliki wa Leseni za Madini Kwa Jamii. Kwa upande wa Meneja Msaidizi wa Mgodi wa Mawe wa Ndolela (Ndolela Quarry) Hilter Ranjiti amesema tangu kuanzishwa kwa mgodi huo mwaka 2022 umekuwa na manufaa kwa wananchi kwa kutoa ajira pia kutekeleza takwa la kisheria kwa kuchangi...