Skip to main content

Posts

Showing posts from February 13, 2026

@marato_tv

@marato_tv
#sauti_ya_jamii

Dkt. Mwigulu Aweka Jiwe la Msingi Hospitali ya Wilaya ya Kilindi.

*Ataka uchunguzi wa matumizi ya fedha na ununuzi wa vifaa hospitalini hapo. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 14, 2026 ameweka jiwe la msingi la Hospitali ya Wilaya Kilindi iliyojengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 2.64 ambapo kati ya fedha hizo shilingi 2.51 ni kutoka Serikali Kuu, Shilingi milioni 50 ni za mapato ya ndani ya Halmashauri na shilingi milioni 89.9 ni kutoka Benki ya Dunia  Ujenzi wa Hospitali hiyo umesaidia kuwapunguzia  wananchi adha na gharama kubwa za matibabu ambazo walilazimika kuzifuata katika Wilaya za jirani. Pamoja na kuridhishwa na ubora wa majengo katika hospitali hiyo, Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu amemtaka Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Tanga kufuatilia na kujua ni kwanini idadi ya majengo yaliyopo ni machache kuliko yaliyokusudiwa ikiwa fedha yote ya utekelezaji wa mradi ilitoka. “Majengo yapo kwenye viwango vizuri, ila fedha iliyokuja ilikuwa ijenge majengo mengi zaidi lakini mmejenga pungufu, fedha nyingine ipo wapi?, michezo ya upotevu wa...

TASHICO's Short Sea Shipping Ambitions Take a Major Step Forward

By Staff Writer  Dar es Salaam Merchant Group (DMG) has announced the successful completion of the validation workshop for the comprehensive consultancy project: "Provision of Consultancy Services for a Feasibility Study for TASHICO to Venture into Short Sea Shipping in the Indian Ocean." The workshop brought together key stakeholders to review and discuss the detailed findings of the study, which explores strategic opportunities for the Tanzania Shipping Company Limited (TASHICO) to expand beyond its traditional inland lake operations into regional short sea shipping across the Indian Ocean. This initiative aligns with Tanzania's broader maritime ambitions to enhance connectivity, boost trade, and position the country as a key player in East African and Indian Ocean logistics. The study was conducted rigorously, drawing on both qualitative and quantitative data collected from more than nine jurisdictions, including Tanzania, Kenya, Comoros, Mauritius, Seychelles, Madagas...

TASHICO Yakaribia Kuanza Safari Fupi za Baharini Nchini

Na Mwandishi Wetu  Kampuni ya Dar es Salaam Merchant Group (DMG) imetangaza kukamilika kwa utafiti yakinifu ambao utaisaidia Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) kuanza kutoa huduma za safari fupi kwa upande wa bahari nchini.  Tafiti hiyo yakinifu "Utoaji wa Huduma za Ushauri kwa Utafiti wa Uwezekano wa TASHICO kuingia katika usafirishaji wa baharini wa safari fupi katika Bahari ya Hindi" iliwaleta pamoja wadau muhimu ili kujadili matokeo ya kina ya utafiti huo ambao umechunguza fursa za kimkakati za Kampuni ya TASHICO kupanuka zaidi kutoka kutoa huduma za usafirishaji kwenye maziwa makuu hadi usafirishaji wa safari fupi baharini. Mpango huu wa kuanza kwa safari za baharini unafanywa na Kampuni ya TASHICO unakuja ukiwa na malengo mapana ya kukuza biashara na mahusiano katika eneo la Afrika Mashariki na Bahari ya Hindi kwa ujumla. Utafiti huo ulifanywa kwa kukusanya taarifa kutoka zaidi ya mamlaka tisa katika nchi za Kenya, Comoros, Mauritius, Seychelles, Madagaska na Réunion. U...