Skip to main content

Posts

Showing posts from October 14, 2026

@marato_tv

@marato_tv
#sauti_ya_jamii

WANANCHI TABORA WAHIMIZWA KUJIUNGA NA UMEME KUKUMBATIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

  *WANANCHI TABORA WAHIMIZWA KUJIUNGA NA UMEME, KUKUMBATIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA* 📌*Sasa Umeme ni Kitongoji Kwa Kitongoji* 📌*Nishati safi ya kupikia kwa kila Mtanzania* 📍*Tabora* Wananchi mkoani Tabora wamehimizwa kujiunga na huduma ya umeme na kukumbatia matumizi ya nishati safi ya kupikia, ikiwemo majiko ya umeme, ili kulinda afya zao, kutunza mazingira na kuboresha maisha ya kila siku. Rai hiyo imetolewa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kupitia ziara ya kutoa elimu na kuhamasisha wananchi kuhusu miradi ya nishati vijijini mkoani humo. Kupitia ziara hiyo, wananchi wanapatiwa elimu kuhusu taratibu za kuomba na kuunganishiwa huduma ya umeme, matumizi sahihi na yenye tija ya nishati hiyo, pamoja na tahadhari za kiusalama wanazopaswa kuzingatia wanapotumia umeme majumbani na katika shughuli mbalimbali za kiuchumi. Aidha, REA imewahimiza wananchi kutumia nishati safi ya kupikia ili kupunguza matumizi ya nishati chafu, ambayo huchangia uchafuzi wa mazingira na kuwaweka watumiaj...