Skip to main content

Posts

Showing posts from March 2, 2025

@marato_tv

@marato_tv
#sauti_ya_jamii

Rea Yaendelea Na Usambazaji Wa Mitungi Ya Gesi Kwa Bei Ya Ruzuku Mkoani Tanga Wilaya Ya Muheza Kata Kwa Kata

📌Mitungi 26,040 kusambazwa kwa bei ya ruzuku mkoa wa Tanga 📌Mitungi 3,255 kusambazwa kwa bei ya ruzuku kata kwa kata  wilayani Muheza 📌Majiko ya gesi ni nishati safi na salama yenye kutunza mazingira na rafiki kwa afya ya watumiaji  REA imeendelea na zoezi la usambazaji wa mitungi ya gesi ya kilo sita kwa bei ya ruzuku wilaya ya muheza kata kwa kata.  Mitungi inapatikana kwa gharama nafuu, yanatunza mazingira, yanadumu na rafiki kwa afya ya watumiaji.

REA YAENDELEA NA USAMBAZAJI WA MITUNGI YA GESI KWA BEI YA RUZUKU MKOANI TANGA WILAYA YA MUHEZA KATA KWA KATA

  *REA YAENDELEA NA USAMBAZAJI WA MITUNGI YA GESI KWA BEI YA RUZUKU  MKOANI TANGA WILAYA YA MUHEZA KATA KWA KATA* 📌Mitungi 26,040 kusambazwa kwa bei ya ruzuku mkoa wa Tanga 📌Mitungi 3,255 kusambazwa kwa bei ya ruzuku kata kwa kata  wilayani Muheza 📌Majiko ya gesi ni nishati safi na salama yenye kutunza mazingira na rafiki kwa afya ya watumiaji  REA imeendelea na zoezi la usambazaji wa mitungi ya gesi ya kilo sita kwa bei ya ruzuku wilaya ya muheza kata kwa kata.  Mitungi inapatikana kwa gharama nafuu, yanatunza mazingira, yanadumu na rafiki kwa afya ya watumiaji.

Mbunge Mathayo Aendelea na Ziara Kata Kwa Kata Akitoa Taarifa ya Utekeleza wa Ilani ya Ccm na Mafanikio Yake

  Na Shomari Binda-Musoma  MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini Vedastus Mathayo ameendelea na ziara yake ya kufika Kata kwa Kata kuelezeautekelezaji wa ilani katika kipindi cha 2020 hadi 2025 Katika ziara hiyo mbunge huyo anakutana na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Kata wa Chama cha Mapinduzi ( CCM) na viongozi mbalimbali. Hadi sasa ameshazifikia Kata 10 kati ya Kata 16 zilizopo jimbo la Musoma mjini zikiwa ni Nyakato,Kitaji,Mukendo,Bweri,Nyamatare,Buhare,Iringo,Kwangwa,Nyasho na Mwigobero. Katika mikutano hiyo,Mbunge huyo amewataka wajumbe hao na wanachama wa CCM kutembea kifua mbele kutokana ilani kutekelezwa kwa asilimia kubwa hata kabla ya kumalizika kwa mwaka 2025 Akiwa Kata za Kwangwa,Nyasho na Mwigobero leo machi 2 amesema Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan amegusa kila sekta kwa kutoa fedha nyingi za miradi iliyotekelezwa ambayo ipo iliyokamilika,inayoendelea na mingine ya kimkakati itaanza hivi karibuni. Katika sekta ya afya amesema kwa zile huduma za kibingwa zinapatikana hospital...