Skip to main content

Posts

Showing posts from September 22, 2026

@marato_tv

@marato_tv
#sauti_ya_jamii

OMDTZ YAFANIKISHA MIPANGO YA KUKABILIANA NA MAFURIKO DAR ES SALAAM

 *Na, mwandishi wetu - Dar es Salaam* Taasisi ya OpenMap Development Tanzania (OMDTZ), kwa kushirikiana na Serikali, imekamilisha zoezi la kukabidhi Mipango ya Maandalizi na Kukabiliana na Mafuriko kwa jamii katika kata tano za Jiji la Dar es Salaam. Zoezi hilo limewezesha zaidi ya washiriki 1,345 kutoka katika kata za Keko, Mabibo, Ubungo, Makurumla na Tabata kupata mipango, elimu na taarifa muhimu za maandalizi na mwitikio wa mafuriko. Aidha utekelezaji wa zoezi hilo umepitia Mradi wa “Ramani Zetu, Sauti Zetu”, unaofadhiliwa na Zayed Sustainability Prize, kwa lengo la kuhakikisha jamii na viongozi wa kata hizo wanakuwa na taarifa sahihi kuhusu maeneo yao ili kuwawezesha kujiandaa kabla ya mafuriko, kuchukua hatua wakati wa hatari na kuendelea kuwa salama baada ya tukio. Katika kata hizo wananchi walipatiwa taarifa kuhusu maeneo hatarishi, njia salama za uhamishaji, maeneo ya mikusanyiko na maeneo yanayohitaji uangalizi zaidi wakati wa mafuriko. Aidha, walipata elimu kuhusu hatua ...

KLINIKI YA ARDHI KUZINDULIWA KESHO MUHEZA.

 Na Mwanamkuu Mwandoro, Tanga. KAMISHNA wa ardhi msaidizi mkoa wa Tanga Jabir Singano amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi katika uzinduzi wa kliniki ya ardhi unaotarajiwa kuanza kufanyika kesho katika Wilaya ya Muheza katika viwanja vya stendi ya bombani ambapo pamoja na huduma nyingine migogoro ya ardhi itafanyiwa kazi sambamba na utoaji wa hati Kwa wale waliokamilisha hatua zote. Kliniki hiyo ambayo hufanyika Kila mwaka katika mikoa yote nchini ikiwa na lengo la kutoa elimu Kwa jamii juu ya ardhi pamoja na kusogeza karibu huduma zinazotolewa chini ya wizara ya Ardhi   Akizungumza na waandshi wa habari kuelekea ufunguzi huo wa kliniki ya ardhi utakao dumu kwa takribani siku kumi kuanzia tarehe 22/9/2026 - 3/10/2026 amesema kuwa migogoro ya ardhi mkoa wa Tanga imepungua kutokana na elimu iliyokuwa ikiendelea kutolewa Kwa jamii. Amewataka wananchi kuacha kutumia madalali wakati wanapohitaji umiliki wa ardhi ambao wengi wamekuwa wakiwaingiza katika migogoro mbalimbali b...

𝑴𝑨𝑲𝑨𝑴𝑼 𝑾𝑨 𝑹𝑨𝑰𝑺 𝑨𝑾𝑨𝑺𝑰𝑳𝑰 𝑵𝑬𝑾 𝒀𝑶𝑹𝑲 - 𝑴𝑨𝑹𝑬𝑲𝑨𝑵𝑰, 𝑲𝑼𝑴𝑾𝑨𝑲𝑰𝑳𝑰𝑺𝑯𝑨 𝑹𝑨𝑰𝑺 𝑫𝑲𝑻. 𝑺𝑨𝑴𝑰𝑨 𝑺𝑼𝑳𝑼𝑯𝑼 𝑯𝑨𝑺𝑺𝑨𝑵 𝑲𝑨𝑻𝑰𝑲𝑨 𝑴𝑲𝑼𝑻𝑨𝑵𝑶 𝑾𝑨 81 𝑾𝑨 𝑩𝑨𝑹𝑨𝒁𝑨 𝑲𝑼𝑼 𝑳𝑨 𝑼𝑴𝑶𝑱𝑨 𝑾𝑨 𝑴𝑨𝑻𝑨𝑰𝑭𝑨

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi amewasili New York nchini Marekani, ambapo anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 81 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA81) Unaofanyika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa Jijini New York. Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa John F Kennedy, Makamu wa Rais amepokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Balozi Elsie Kanza, Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa – New York Mhe. Balozi Togolani Mavura pamoja na maafisa mbalimbali. Kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kinachoshirikisha Wakuu wa Nchi na Viongozi mbalimbali ni Mkutano muhimu ambao, pamoja na mambo mengine, hujadili masuala ya kiuchumi, kisiasa, mazingira na haki za binadamu. Kikao hicho kinafanyika chini ya Kaulimbiu isemayo “Kurudisha Imani, Kusimamia Mabadiliko, Umoja wa Mataifa unaohudumia wote” (Restoring Trust, Managing Transformation: A United Nations That Del...

TAHARUKI HANDENI: NYUMBA SITA ZATEKETEA MOTO USIKU WA MANANE

 📍 CCM kupitia mwenyekiti wa mkoa, Yawafariji Na Mashaka Mhando, Handeni KILIO, hofu, na sintofahamu vimetanda miongoni mwa wakazi wa Kitongoji cha Kwedifunyela, Wilayani Handeni, kufuatia tukio la kutisha ambapo nyumba sita za familia tofauti ziliteketea kwa moto kwa wakati mmoja, usiku wa manane. Tukio hilo la aina yake lilitokea Septemba 18, majira ya saa tisa usiku, ambapo moto huo uliozuka kwa kasi uliteketeza kila kitu ndani ya nyumba hizo, huku waathirika wakiambulia kuokoa maisha yao pekee. Kutokana na mazingira tata ya moto huo kuwaka kwenye nyumba sita zilizo maeneo tofauti lakini kwa wakati mmoja, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa, Rajabu Abdallah, ameiagiza Serikali kufanya uchunguzi wa haraka na wa kina. "Jambo la kujiuliza ni kwamba nyumba hizi zote zimeungua kwa wakati mmoja. Zingekuwa zimeongozana tusingekuwa na maswali, lakini zipo maeneo tofauti. Nimeielekeza Serikali ufanyike uchunguzi wa kina... w...

𝑴𝑨𝑲𝑨𝑴𝑼 𝑾𝑨 𝑹𝑨𝑰𝑺 𝑨𝑾𝑨𝑺𝑰𝑳𝑰 𝑵𝑬𝑾 𝒀𝑶𝑹𝑲 - 𝑴𝑨𝑹𝑬𝑲𝑨𝑵𝑰, 𝑲𝑼𝑴𝑾𝑨𝑲𝑰𝑳𝑰𝑺𝑯𝑨 𝑹𝑨𝑰𝑺 𝑫𝑲𝑻. 𝑺𝑨𝑴𝑰𝑨 𝑺𝑼𝑳𝑼𝑯𝑼 𝑯𝑨𝑺𝑺𝑨𝑵 𝑲𝑨𝑻𝑰𝑲𝑨 𝑴𝑲𝑼𝑻𝑨𝑵𝑶 𝑾𝑨 81 𝑾𝑨 𝑩𝑨𝑹𝑨𝒁𝑨 𝑲𝑼𝑼 𝑳𝑨 𝑼𝑴𝑶𝑱𝑨 𝑾𝑨 𝑴𝑨𝑻𝑨𝑰𝑭𝑨

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi amewasili New York nchini Marekani, ambapo anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 81 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA81) Unaofanyika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa Jijini New York. Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa John F Kennedy, Makamu wa Rais amepokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Balozi Elsie Kanza, Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa – New York Mhe. Balozi Togolani Mavura pamoja na maafisa mbalimbali. Kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kinachoshirikisha Wakuu wa Nchi na Viongozi mbalimbali ni Mkutano muhimu ambao, pamoja na mambo mengine, hujadili masuala ya kiuchumi, kisiasa, mazingira na haki za binadamu. Kikao hicho kinafanyika chini ya Kaulimbiu isemayo “Kurudisha Imani, Kusimamia Mabadiliko, Umoja wa Mataifa unaohudumia wote” (Restoring Trust, Managing Transformation: A United Nations That Del...

KLINIKI YA ARDHI KUZINDULIWA KESHO MUHEZA.

 Na Mwanamkuu Mwandoro, Tanga. KAMISHNA wa ardhi msaidizi mkoa wa Tanga Jabir Singano amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi katika uzinduzi wa kliniki ya ardhi unaotarajiwa kuanza kufanyika kesho katika Wilaya ya Muheza katika viwanja vya stendi ya bombani ambapo pamoja na huduma nyingine migogoro ya ardhi itafanyiwa kazi sambamba na utoaji wa hati Kwa wale waliokamilisha hatua zote. Kliniki hiyo ambayo hufanyika Kila mwaka katika mikoa yote nchini ikiwa na lengo la kutoa elimu Kwa jamii juu ya ardhi pamoja na kusogeza karibu huduma zinazotolewa chini ya wizara ya Ardhi   Akizungumza na waandshi wa habari kuelekea ufunguzi huo wa kliniki ya ardhi utakao dumu kwa takribani siku kumi kuanzia tarehe 22/9/2026 - 3/10/2026 amesema kuwa migogoro ya ardhi mkoa wa Tanga imepungua kutokana na elimu iliyokuwa ikiendelea kutolewa Kwa jamii. Amewataka wananchi kuacha kutumia madalali wakati wanapohitaji umiliki wa ardhi ambao wengi wamekuwa wakiwaingiza katika migogoro mbalimbali...

DKT. MWIGULU: UWEZESHAJI WA WANAWAKE NI UWEKEZAJI KATIKA AFYA MOJA

 *_▪︎ Aeleza hatua za Tanzania kuwawezesha wanawake katika kilimo_* WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba alisema uwezeshaji wa wanawake wakulima ni uwekezaji katika utekelezaji wa dhana ya Afya Moja, kutokana na nafasi yao katika uzalishaji wa chakula, ufugaji, lishe, afya ya mifugo, usalama wa chakula na utunzaji wa mazingira. “Wanawake hawapo pembezoni mwa mifumo ya chakula na kilimo; wako katikati yake. Kuwawezesha wanawake ni uwekezaji si katika kilimo pekee, bali pia katika Afya Moja,” alisema. Waziri Mkuu alisema hayo jana (Jumatatu, Septemba 21, 2026) wakati akizungumza katika kikao cha ngazi ya juu kuhusu Mwaka wa Kimataifa wa Mwanamke Mkulima 2026, chenye mtazamo wa Afya Moja, kilichofanyika katika Kituo cha Sheikh Zayed, Makao Makuu ya Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), jijini Roma, Italia. Alisema Tanzania inaongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye ni Rais wa kwanza mwanamke katika historia ya nchi, akieleza kuwa wanawake wana nafasi kubwa kati...

TITF YAANDAA TAMASHA LA SANAA ZA UFUNDI ARUSHA

 Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Tanzania International Tourism Festival (TITF) imeandaa tamasha la Sanaa za ufundi litalalofanyika kuanzia tarehe 6 hadi 11 Oktoba jijini Arusha. Tamasha hilo linalenga kuunganisha Sanaa, Ufundi, Utamaduni, Utalii na Uchumi wa Ubunifu, pamoja na kutoa fursa za masoko, biashara na uwekezaji kwa wazalishaji wa bidhaa za Sanaa na ufundi. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Edward Buganga alisema TITF imezishirikisha BASATA, Bodi ya Filamu Tanzania na COSOTA katika maeneo yanayohusiana na majukumu yao. Alisema tamasha hilo litafanyika katika Viwanja vya General Tyre, Njiro, Arusha. Alisema BASATA itashiriki katika maeneo yanayohusu maendeleo na ukuzaji wa sanaa, wasanii na wadau wa sanaa, pamoja na kuhamasisha fursa zinazotokana na uchumi wa ubunifu. Buganga alisema Bodi ya Filamu Tanzania itashiriki katika maeneo yanayohusu tasnia ya filamu na namna filamu na Sanaa nyingine zinavyoweza kuung...