Skip to main content

Posts

Showing posts from March 6, 2026

@marato_tv

@marato_tv
#sauti_ya_jamii

Dkt.Mwigulu atoa majibu ya mgogoro wa ardhi wa miaka 22 eneo la Jeshi Monduli

Machi 07, 2026 *Mkuu wa Majeshi asema: Hakuna jambo la fidia  *Aibua nderemo, shangwe kwa wananchi WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa majibu ya mgogoro wa ardhi baina ya wakazi wa Wilaya ya Monduli na Jeshi la Wananchi ambao wamedumu tangu 2004 baada ya kumpigia simu Mkuu wa Majeshi nchini na kumweleza kilio cha wanaMonduli. Waziri Mkuu alichukua hatua hiyo jana jioni (Ijumaa, Machi 6, 2026) wakati. na wananchi na viongozi mbalimbali kwenye mkutano wa hadhara ambao katika uwanja wa Barafu Mto wa Mbu, wilayani Monduli, mkoani Arusha.  Akitoa majibu baada ya maongezi yao, Dkt. Mwigulueleza wananchi hao kwamba Mkuu wa Majeshi nchini ameridhia hoja yao ndiyo Mbunge wa Monduli, Isack Joseph pamoja na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Namelok Sokoine ambao waliomba suala la fidia lisiwepo bali wananchi waachiwe kuendelea na jeshi kama ilivyokuwa zamani. “Mkuu wa Majeshi ameridhia kwamba hakuna jambo la fidia. Makubaliano mliyokuwa nayo awali ya mafunzo na malisho yaendelee vilevile....

Mbunge Agness awafikia wanawake wa Kikristo kwa kuwashika mkono

wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mheshimiwa Agnes Marwa, ameungana na wanawake mbunge wa bodi ya Kikristo katika Musoma kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake kwa shangwe na mshikamano mkubwa. Katika maombi hayo yaliyowakutanisha wanawake wa Christian Council of Tanzania (CCT) pamoja na WAWATA wa Manispaa ya Musoma, Mheshimiwa Mbunge alitoa pongezi kwa wanawake kwa mchango wao mkubwa katika kuimarisha maadili ya jamii, familia na maendeleo ya Taifa. Mkutano wa sherehe hizo, Mheshimiwa Agnes Marwa aliwahimiza wanawake kuendelea, kujiamini na kutumia fursa mbalimbali za maendeleo ili kujiletea ustawi na jamii kwa ujumla. Katika kuonesha dhamira yake ya dhati ya kuunga mkono shughuli za wanawake na taasisi za kijamii, Mheshimiwa Mbunge alitoa mchango wa shilingi milioni 2 na laki 4 (Tsh 2,400,000) kwa ajili ya ununuzi wa hema, hatua itakayosaidia mifumo ya uendeshaji wa shughuli mbalimbali za kijamii na katika Manispaa ya Musoma. Wanawake walioshiriki Mheshimiwa hayo walimpongeza na kumshu...

Heche,Mnyika na Wengine Saba Kwenda Jela Miezi Sita?

Na Mwandishi Wetu VIONGOZI tisa waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanatarajiwa kupandishwa kizimbani wiki ijayo wakikabiliwa na tuhuma za kudharau na kukaidi amri halali ya mahakama, hatua inayoweka hatarini kupelekwa kifungo kwa miezi kadhaa. za uhakika zinasema kesi hiyo tayari imesajiliwa mahakamani kwa namba 000014659, ikidai kuwa viongozi hao waliendelea shughuli za kisiasa hadharani licha ya kuwepo taarifa ya muda wa mahakama iliyowazuia kufanya hivyo hadi pale wa kesi ya msingi utakapotolewa. Imeelezwa kuwa tangu kutolewa kwa zuio la mahakama, viongozi hao hawapaswi kufanya shughuli za kwa mwamvuli wa chama au kutumia ofisi na mali nyingine za chama, imedaiwa kuwa wamendelea kufanya hivyo kinyume na amri ya mahakama. Kwa mujibu wa taarifa hizo, viongozi hao wanaweza kupandishwa kizimbani wakati wowote wiki ijayo kujibu mashtaka ya kudharau amri ya mahakama (contempt of court). Viongozi wa CHADEMA waliotajwa katika kesi hiyo ni: 1.John Heche – Makamu wa CH...

Wanawake Tume ya Madini Wasaidia Wagonjwa wa Figo Katika Hospitali ya Benjamin Mkapa

Dodoma, Machi 06, 2026 Wanawake wa Tume ya Madini wamefanya tukio la kibinadamu lililogusa mioyo ya watu wengi kwa kulipia gharama za matibabu kwa wagonjwa wenye uhitaji maalum katika Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH), Kitengo cha Usafishaji Damu (Dialysis) iliyopo jijini Dodoma. Msaada huo umetolewa kupitia ziara waliyoifanya hospitalini hapo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, ambayo kilele chake ni  tarehe 08 Machi, mwaka huu. Wanawake hao wamejumuika na kuwatia moyo wagonjwa waliokumbwa na changamoto za kifedha, wakiwemo waliokuwa wakipatiwa matibabu ya figo. Akizungumza kwa niaba ya wanawake wa Tume ya Madini, Kamishna wa Tume ya Madini, Mhandisi Theonestina Mwasha, amesema: “Tunatambua kila mtu ana mahitaji mbalimbali, lakini nashukuru kwa michango iliyotolewa na Tume ya Madini kufanikisha kulipia baadhi ya gharama kwa wagonjwa kumi na wanne (14) waliokuwa wakikabiliwa na changamoto za kifedha katika kupata matibabu ya figo. Huu ni wakati wa kuwatia mo...

Hospitali ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kuimarisha Diplomasia Tiba na Nchi Jirani

Na Mwandishi wetu Jovina Massano;Musoma MKUU wa mkoa wa Mara Kanali  Evans Mtambi amesema kuwa kukamilika kwa hospitali ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere iliyopo Kata ya Kwangwa Manispaa ya Musoma kutaimarisha Diplomasia tiba kwa nchi jirani. Kanali Mtambi ameyasema hayo Machi 4,2026 wakati akizindua kambi ya matibabu katika hospitali hiyo inayosimamiwa na madaktari  bingwa kutoka taasisi ya tiba ya mifupa na ubongo Muhimbili(Moi) ikionhozwa na Mkurugenzi Mtendaji Mh. Balozi ,Dkt Mpoki Ulisubisya. Amesema kuwa ni miaka 3 tangu hospitali hii ianze kutoa huduma imeweza kupokea wagonjwa zaidi ya 200 kutoka nchi jirani kupata huduma za kitabibu katika hospitali hii ya kumbukumbu ya Mwl.Nyerere. " Ujenzi wa hospitali hii utakapokamilika utaboresha mahusiano mazuri na nchi jirani kwa kuwa wale watakaofika na kupata huduma za matibabu hapa watakuwa mabalozi wema wa nchi yetu katika nchi zao", amesema Mtambi. Kwa Upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya tiba ya mifupa na ubongo M...

Dkt. Mwigulu Aagiza Kukamatwa Kwa Mkandarasi Raia Wa Iran Aliyetelekeza Mradi wa Umwagiliaji

-Asema ni hujuma na dharau dhidi ya Serikali, aahidi kula naye sahani moja, huku akisisitiza kuwa ametumwa kuwashughulikia wezi wa fedha za Serikali… Ataka akamatwe na kuzuiwa kuondoka nchini *Karatu, Arusha.* Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa agizo la kukamatwa kwa Mkandarasi raja wa Iran kampuni ya Tunnel Sade Ariana ambaye ameshindwa kutekeleza mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji la Eyasi lililopo Karatu Mkoani Arusha. Mkandarasi huyo ambaye mkataba wake umevunjwa na Tume ya Taifa ya Umwagiliaji ametakiwa kurejesha kiasi cha shilingi 3,274,794,302 kama malipo ya awali ya mradi huo. Akizungumza mkoani Waziri Mkuu wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la mradi mwingine wa Umwagiliaji upande wa skimu za Bonde la Eyasi unaogekelezwa na Mkandarasi M/S CRJE(EA) Waziri Mkuu amesema atakula sahani moja na mkandarasi aliyekimbilia Mahakmani akiwa na fedha za Serikali. Hayo yalijiri mara, baada ya Waziri Mkuu kupokea taarifa kutoka kw...