Skip to main content

Posts

Showing posts from November 20, 2026

@marato_tv

@marato_tv
#sauti_ya_jamii

DKT. MWIGULU AKUTANA NA BALOZI WA SWEDEN, WAJADILI KUIMARISHA USHIRIKIANO

  Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Ingrid Johansson, katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni, jijini Dar es Salaam, leo Novemba 20, 2026. Mazungumzo hayo yamejikita katika kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na kupanua ushirikiano kati ya Tanzania na Sweden katika maeneo mbalimbali yenye maslahi ya pamoja.