Skip to main content

Posts

Showing posts from August 17, 2024

@marato_tv

@marato_tv
#sauti_ya_jamii

JAFO AZINDUA ZAHANATI YA KIJIJI KISARAWE

Mbunge wa Jimbo la Kisarawe Mhe. Daktari Selemani Said Jafo amewasihi wataalamu wa afya kuboresha utoaji huduma za afya kwa wananchi.  Dkt. Jafo ametoa rai hiyo wakati akizindua zahanati ya Kijiji cha Chakenge kata ya Mzenge Wilayani Kisarawe. Amesema faraja yake kama kiongozi mwakilishi wa wananchi  ni kuona wataalamu hao wanatumia miundombinu ya Afya zilizoboresha Wilayani  humo kuanzia ngazi ya Zahanati, Vituo vya Afya Pamoja na Hospitali kutoa huduma iliyobora kwa wananchi.  Dkt. Jafo ameongeza kwamba Ujenzi wa Zahanati hiyo ni sehemu ya utekelezaji wa Malengo waliyojiwekea kama Wilaya kuhakikisha  zahanati inazjengwa kila kijiji na Kituo cha Afya kila Kata.  Aidha Dkt. Jafo amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya kisarawe kupelekea vifaa tiba vya kutosha katika Zahanati ya kijiji cha Chakenge ili wananchi waweze kunufaika na huduma za afya karibu na kupunguza safari zisizokuwa za lazima kwenda Kituo cha Afya cha Mzenga.  Pia, amewataka M...

WAZIRI JAFO AZINDUA ZAHANATI YA KIJIJI CHA CHAKENGE KATA YA MZENGE WILAYANI KISARAWE

Rais Samia Suluhu Hassan Kuongoza Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama SADC

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan leo ameshiriki mkutano wa 44 wa wakuu wa nchi na serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Africa (SADC), ambapo pia  amekabidhiwa rasmi nafasi ya uenyekiti wa asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika ( SADC -Organ Troika Summit) ambayo ataiongoza kwa kipindi cha mwaka mmoja. Rais Dkt. Samia amekabidhiwa Uenyekiti huo leo Agosti 17, 2024 katika Mkutano wa wakuu wa nchi na viongozi wa Serikali wa SADC uliofanyika katika jengo la Bunge la Zimbabwe (New Parliament Building) lililoko katika eneo la kilima cha Mount Hapdeo jijini Harare. Kabla ya kukabidhiwa Rasmi nafasi hiyo ya uenyekiti wa asasi ya siasa ,ulinzi na usalama ya SADC, Rais wa Zambia Hakainde Hichilema jana alimpongeza Mheshimiwa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa jitihada zake za kuendesha nchi kwa misingi ya haki na demokarasia ndio maana ameaminiwa na kuteuliwa katika nafasi hiyo. Naye Katibu Mtenda...