Skip to main content

Posts

Showing posts from August 14, 2024

@marato_tv

@marato_tv
#sauti_ya_jamii

Mbunge Vedastus Mathayo na Meya Patrick Gumbo Wahaidi Kutatua Kero za Wananchi

Na Shomari Binda-Musoma MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini Vedastus Mathayo na Meya wa manispaa ya Musoma Patrick Gumbo wameahidi kuzitafutia ufumbuzi kero mbalimbali za wananchi. Viongozi hao wameyasema hayo wakati wakijibu kero mbalimbali za wananchi walizozitoa leo agosti 14 kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Makoko ambapo wamesema kero za wananchi zinapaswa kutatuliwa na viongozi. Katika mkutano huo, wananchi wametoa kero mbalimbali ikiwemo migogoro ya viwanja na mikopo ya asilimia 10 itolewayo na halmashauri ya manispaa. Mmoja wa wananchi hao aliyejitambulisha kwa jina la Amina Said, amesema kero yake ni kiwanja chake kuingiliwa na kukosa njia ya kupitia Akijibu kero hiyo pamoja nyingine Meya wa manispaa ya Musoma Patrick Gumbo amesema hakuna kero ambayo haita shughulikiwa kwa kuwa ndio kazi ya viongozi. Gumbo ambaye pia ni diwani wa Kata ya Makoko amesema kero nyingi zimetatuliwa na miradi mingi ya maendeleo imepelekwa kwenye Kata ya Makoko. Mbunge wa jimbo la Musoma mjin...

Rais Samia Afanya Uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Ummy Mwalimu na Angellah Kairuki Waachwa

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiriko Katika Baraza la Mawaziri 14 August 2024 Kabudi na Lukuvi warudi serikalini kwa kishindo