Skip to main content

Posts

Showing posts from January 11, 2026

@marato_tv

@marato_tv
#sauti_ya_jamii

Tanzania: IPTL's Patience Pays Off in $168m Dispute with Standard Chartered Bank

By Staff Writer Independent Power Tanzania Limited (IPTL) has won an appeal filed by Standard Chartered Bank Hong Kong in the Court of Appeal of Tanzania   which is Civil Appeal No. 386 of 2022. IPTL challenged in the High Court of Tanzania - commercial division in Commercial Application No. 67 and 75 of  2017 The registration of foreign judgment of High Court of Justices of England, Queens Bench Court, commercial court which ordered IPTL to pay Standard Chartered Bank Hong Kong an amount tuned to $168 million and the High Court rejected the registration of the said foreign judgment hence Standard Chartered Bank Hong Kong appealed to Court of Appeal. The ruling was handed down by Judge M.C. Levira, Judge L.E Mgonja, and Judge G. J Mdemu, justice of the Court of Appeal of Tanzania on January 9, 2026, stricking out the appeal filed by Standard Charted Bank Hong Kong and upholding the objections raised by IPTL in regards to the competency of the appeal. According to a court ...

Kesi ya IPTL: Mfumo wa Mahakama Tanzania waonyesha Uimara

Na Mwandishi Wetu Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imeshinda rufaa iliyokatwa na Benki ya Standard Chartered Hong Kong katika Mahakama ya Rufani ya Tanzania ambayo ni Rufaa ya Madai namba 386 ya mwaka 2022. IPTL ilipingwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania - kitengo cha kibiashara katika Ombi la Biashara namba 67 na 75 la mwaka 2017. Usajili wa hukumu ya kigeni ya Mahakama Kuu ya Majaji ya Uingereza, Mahakama ya Benchi ya Queens, mahakama ya kibiashara ambayo iliamuru IPTL kuilipa Benki ya Standard Chartered Hong Kong kiasi cha dola milioni 168 na Mahakama Kuu ilikataa usajili wa hukumu hiyo ya kigeni hivyo basi Benki ya Standard Chartered Hong Kong ikakata rufaa Mahakama ya Rufaa. Uamuzi huo ulitolewa na Jaji M.C. Levira, Jaji L.E Mgonja na Jaji G. J Mdemu, Jaji wa Mahakama ya Rufani ya Tanzania Januari 9, 2026, wakitupilia mbali rufaa iliyowasilishwa na Benki ya Standard Charted Hong Kong na kuunga mkono mapingamizi yaliyowekwa na IPTL kuhusu uwezo wa rufaa hiyo....

Wananchi na Watalii Zanzibar Wavutiwa na Fursa za Uwekezaji katika Sekta ya Madini

  Wananchi na watalii waliotembelea Maonesho ya 12 ya Kimataifa ya Biashara Zanzibar yanayoendelea Fumba wameonesha kuvutiwa fursa mbalimbali za utafutaji zinazotolewa na Sekta ya Madini, hususan katika maeneo ya utafiti, uchimbaji mdogo, uchenjuaji, uongezaji thamani na biashara ya madini. Wametembelea Banda la Tume ya Madini kujifunza taratibu za kujiandikisha, kuomba leseni za uchimbaji mdogo (PML), pamoja na kupata ushauri wa kitaalam kuhusu namna ya kushiriki katika sekta hiyo inayokua kwa kasi na kuchangia ajira, kipato na maendeleo ya uchumi wa nchi.

Santa Edwin Pre & primary shule bora Jijini Mwanza mlete mwanao kwa kupata elimu bora

Shule ya Awali na Msingi ya Santa Edwin imeendelea kutangaza nafasi za masomo kwa watoto wanaohamia kwa madarasa yote. Shule ina walimu wenye weledi wa kufundisha watoto kwa mbinu za kisasa. Shule ipo Majengo Mapya, Nyegezi kata ya Mkolani Jijini Mwanza. Kwa waandishi wa habari 0754551306 0786349813

Tanapa Kutumia Zoezi la Urushwaji Wa “Fash Fash” Kunadi Vivutio Vyake

Na. Jacob Kasiri - Zanzibar. TANAPA kwa kushirikiana na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) pamoja na  Kamisheni ya Utalii Zanzibar (ZCT) watia nanga eneo la Forodhani leo Januari 11, 2026 kwa lengo la kunadi vivutio vya utalii pamoja na fursa za uwekezaji. Eneo la Forodhani ni maarufu sana Zanzibar kwa kuwa na wageni kedekede kutoka mataifa mbalimbali kuja kushuhudia shughuli za utalii zinazotekelezwa katika eneo hilo, pia eneo hilo limepokea meli kubwa ya kitalii ya M/S Azamara (Cruise ship) iliyotokea Mauritania ikiwa na watalii 668 na crews 368. Hivyo uwepo wa TANAPA, TTB sanjari na Kamisheni ya Utalii Zanzibar kama mwenyeji wa eneo hilo ni fursa adhimu na mjarabu ya kunadi vivutio vya utalii kama vile utalii wa wanyamapori na fursa za utalii. TANAPA wapo Kisiwani Unguja katika Maonesho ya 12 ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea katika viwanja vya Dimani - Fumba, Zanzibar, aidha pia shirika hilo linatarajia kushiriki shamra shamra za Sikukuu ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo us...

Waziri Mkuu Ashiriki Ibada ya Jumapili Katika Kanisa la Kkkt (Dmp) Usharika wa Azania Front

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameshiriki ibada ya Jumapili, leo, tarehe 11 Januari 2026, katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP), Usharika wa Azania Front, jijini Dar es Salaam. Ibada hiyo iliongozwa na Msaidizi wa Askofu wa KKKT DMP, Chediel Lwiza, kwa kushirikiana na mchungaji Victor Makundi.