Skip to main content

Posts

Showing posts from March 23, 2025

@marato_tv

@marato_tv
#sauti_ya_jamii

Askofu Bagonza Ampa Heshima Mzee Wasira Nyumbani Kwake Karagwe

  Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira na Askofu wa Askofu Bagonza Ampa Heshima Mzee Wasira Nyumbani Kwake Karagwe la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dk. Benson Bagonza, wamekutana na kuzungumza wilayani Karagwe Mkoa wa Kagera. Wasira na Dk. Bagonza wamekutana jana wilayani Ngara, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025, kusikiliza changamoto za wananchi pamoja na kuhutubia mikutano ya hadhara mkoani Kagera.

Dkt.Samia Ametenda Maajabu Sekta ya Nishati Miaka Minne ya Uongozi-Dkt. Biteko

📌 Mashine ya 9 yakabidhiwa, yakamilisha MW 2115 - JNHPP 📌 Aitaka Jumuiya ya Wazazi ieleze Watanzania mafanikio ya Serikali 📌 Asema kuongezeka kwa mahitaji ya umeme nchini kunachochea ukuaji wa viwanda 📌 Atoa wito kwa Watanzania kuzingatia matumizi bora ya umeme Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan sekta ya nishati imepiga hatua kubwa nchini sambamba na kuzalisha umeme wa ziada dhidi ya mahitaji ya Watanzania. Dkt. Biteko amesema hayo Machi 23, 2025 jijini Arusha wakati akitoa takwimu kuhusu ongezeko la mahitaji ya umeme nchini katika Kikao cha Baraza Kuu la Wazazi Taifa. “ Rais Samia amefanya kazi kubwa katika sekta ya nishati nchini na hivi karibuni, tulikuwa nchini Barbados kueleza mafanikio yetu katika sekta hii kwa kuwa Rais Samia amefanya jitihada kubwa sana katika ya nishati,” am...

Bwawa la Mwalimu Nyerere Linatosheleza Kwa Umeme Nchini

📌 Mashine ya 9 yakabidhiwa, yakamilisha MW 2115 - JNHPP 📌 Aitaka Jumuiya ya Wazazi ieleze Watanzania mafanikio ya Serikali 📌 Asema kuongezeka kwa mahitaji ya umeme nchini kunachochea ukuaji wa viwanda 📌 Atoa wito kwa Watanzania kuzingatia matumizi bora ya umeme Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan sekta ya nishati imepiga hatua kubwa nchini sambamba na kuzalisha umeme wa ziada dhidi ya mahitaji ya Watanzania. Dkt. Biteko amesema hayo Machi 23, 2025 jijini Arusha wakati akitoa takwimu kuhusu ongezeko la mahitaji ya umeme nchini katika Kikao cha Baraza Kuu la Wazazi Taifa. “ Rais Samia amefanya kazi kubwa katika sekta ya nishati nchini na hivi karibuni, tulikuwa nchini Barbados kueleza mafanikio yetu katika sekta hii kwa kuwa Rais Samia amefanya jitihada kubwa sana katika ya nishati,”...

Kamati ya PAC Yaguswa na Mradi wa Miundombinu ya Umeagiliaji Shamba la Wakala wa Mbegu Ngaramtoni

 Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imeshiriki ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kutembelea mradi wa miundombinu ya Umwagiliaji katika shamba la mbegu la Wakala wa Mbegu (ASA) lililopo Ngaramtoni, eneo lililowekewa miundombinu ya Umwagiliaji Hekta 160 kati ya 200 sawa na asilimia 82 ya utekelezaji, na shamba la Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) katika kituo cha TARI  kilichopo Seliani mkoani Arusha. Katika utekelezaji mradi huo Tume imeshiriki Kama mshauri mwelekezi katika usimamizi wa mradi. Aidha kamati hiyo imeipongeza Wizara ya Kilimo kwa kuwa wabunifu na mipango madhubuti ya kuhakikisha inakabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kwa kuwekeza katika sekta ya Umwagiliaji na kuongeza Uzalishaji.

Musoma Mjini yakumbwa na Maafa Makubwa

  Mvua kubwa iliyoambatana na kimbunga kikali imenyesha katika halmashauri ya Manispaa ya Musoma Mkoani Mara na kusababisha uharibifu mkubwa wa nyumba za makazi,biashara na majengo ya shule. Uharibifu huo pia mkubwa umehusisha miundo mbinu mingine ikiwemo ya shirika la umeme nchini Tanesco na vituo vya kuuzia nishati ya mafuta. Kwa mujibu wa mashuhuda mvua hiyo ikiwa na kimbunga kikali imenyesha majira ya saa nane usiku wa kuamkia leo machi 24 mwaka 2025. Hadi sasa Serikali haijatoa taarifa rasmi ya madhara ambayo yamesababushwa na kimbunga hicho ikiwemo mvua hiyi kubwa ambayo imeelezwa kuwa haijawahi kutokea katika miaka ya hivi karibuni. Mbunge wa Musoma mjini mh Vedastus Mathayo akizungumza kwa njia ya simu ameonesha kusikitishwa na tukio hilo kubwa na kutoa Pole kwa wananchi,taasisi na wafanyabiashara ambao wameathiriwa na janga hilo kubwa. Maeneo mengi yaliyoathitiwa na janga hilo ni mitaa katibu yote ya katikati ya mji wa Musoma.

Msemaji wa Trc Aelezea Umuhimu wa Mafunzo ya Veta

 Leo na mimi  nataka ku share kidogo umuhimu wa VETA na kwanini uende VETA. VETA ni muendelezo wa tranformation ya masuala ya Ufundi stadi, kwa faida ya GEN-Z ni kwamba awali ilianza National Vocational Training Centre ( NVTC) ikaenda tena kuwa National Vocational Training Division ( NVTD) kabla ya kuwa VETA. Binafsi sikusoma Form 5&6, baada ya kumaliza Form 4 nikajiunga na NVTC kusomea ufundi Umeme wa majumbani (Electrical Installation) na kupata cheti cha Daraja la III. Stadi (skills) nilizopata zilinisaidia sana wakati huo pamoja na wenzangu  kupata deals za kufunga umeme kwenye nyumba za watu ikiwemo pia maghorofa. Niliutumia ujuzi huo kwa kujipatia kipato kabla sija develop interest  kuwa journalist. Nikaenda chuo na kufanikiwa kuhitimu shahada mbili za mawasiliano ya Umma (masters degree in MassCommunication), faida niliyonayo sasa ni kwamba hakuna fundi anayeweza kunidanganya kuhusu masuala ya umeme wa majumbani aidha ninaweza pia kumpa ushauri rafiki yang...

Dkt Slaa Ajiunga Tena na Chadema

 Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama na Mgombea Urais kupitia Chadema Dr. Wilbroad Slaa amerejea Chadema na kupokelewa na Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu katika uwanja wa Ruanda Nzovwe, Mbeya. Leo tarehe 23 Machi 2025 Chama kinazindua Operesheni #NoReformsNoElection katika jiji la Mbeya.