Shirika la Reli Tanzania (TRC) lilianza kutoa huduma ya usafirishaji abiria kutumia reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) mnamo mwezi Juni 2024, toka kipindi hicho mpaka Machi 2026, abiria 5,512,995, wamesafiri kwa kutumia treni za SGR. Takwimu hiyo ina ujumbe mkubwa sana kimkakati kuhusu ubora na mafanikio ya huduma ya SGR, na ina maana zifuatazo: Kwanza ni Kukubalika kwa Huduma (High public acceptance) Abiria zaidi ya milioni 5.5 ndani ya muda mfupi inaonyesha kuwa, Wananchi wameikubali kwa kiwango cha juu kabisa, huduma ya SGR kwani mejenga imani kubwa kwa watumiaji. Ukiachana na hilo, SGR imekuwa chaguo kuu la usafiri ukilinganisha na njia nyingine na usafiri na usafirishaji, lakini kubwq zaidi hii ni ishara ya market penetration yenye mafanikio makubwa. Pili inadhihirisha Ufanisi wa Utoaji Huduma (Service Efficiency), na kwa muktadha huo, idadi hii inaashiria kuwa, huduma inapatikana kwa uhakika na ratiba zinazingatiwa , katika kipindi chote hicho uendeshaji umekuw...
Marato tv - Sauti ya Jamii