Hekaheka za mchujo CCM: Sababu ya wabunge nguli kufyekwa na wajumbe hizi hapa *Yadaiwa walikuwa bize na wananchi wakasahau 'kuwaona' wajumbe wa kamati za siasa *Wajumbe wengine walia kupunjwa mgao BAADHI ya kamati za siasa za chama cha Mapinduzi CCM za wilaya nchini, zinadaiwa kukiuka taratibu za chama hicho za kuwapata viongozi wa dola kwa madai ya kupokea rushwa, jambo ambalo liliwafanya kuendesha vikao vya mchujo kwa upendeleo mkubwa, chuki na fitna. Uchunguzi ambao umefanywa katika baadhi ya mikoa nchini, umebaini kuwa baadhi ya viongozi wa kamati hizo hasa wenyeviti na makatibu walinunuliwa kabla ya kuanza kwa vikao hivyo vya mapendekezo kwa wagombea ubunge na udiwani. Imeelezwa kuwa chanzo cha viongozi hao kununuliwa na baadhi ya wana CCM, waliokuwa tayari wamejipanga kuchukua fomu ni kutokana na baadhi ya wabunge kushindwa kuwajali binafsi badala yake walitumia muda mwingi kwa shughuli za maendeleo pamoja na kuwalinda wajumbe katika maeneo hayo. Imeelezwa kuwa kutok...
Marato tv - Sauti ya Jamii