Skip to main content

Posts

Showing posts from June 27, 2025

@marato_tv

@marato_tv
#sauti_ya_jamii

Minister Mavunde Officiates Madini Bonanza, Championing Unity in The Minerals Sector

_Dodoma, Tanzania – June 28, 2025_ The Minister for Minerals, Hon. Anthony Peter Mavunde, has officially inaugurated the much-anticipated Madini Bonanza at the John Merlin Grounds in Dodoma, kicking off a spirited gathering that brings together institutions under the Ministry of Minerals to promote teamwork, health, and unity through sports. Officiating the opening ceremony, Hon. Mavunde emphasized that the event goes beyond competition, symbolizing the Ministry’s commitment to building strong inter-institutional relationships and fostering a positive, collaborative work environment across the minerals sector. “This Bonanza is more than just a sports event. It is a reflection of the solidarity, discipline, and energy that drive the success of our mineral sector,” said Hon. Mavunde. “We are building a culture of unity and wellness that strengthens our institutions and the people behind them.” Participating institutions include the Mining Commission, State Mining Corporation (STAMICO), G...

Balozi Nchimbi Ateta na Absalom Kibanda Jijini Dodoma

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. John Emmanuel Nchimbi akizungumza jambo na Mwandishi mkongwe, Mwenyekiti Mstaafu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF),Ndugu Absalom Kibanda akiwa ofisini kwake,  Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, leo Ijumaa , tarehe 27,Juni 2025.

Balozi Nchimbi Akuteta na Absalom Kibanda Jijini Dodoma

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. John Emmanuel Nchimbi akizungumza jambo na Mwandishi mkongwe, Mwenyekiti Mstaafu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF),Ndugu Absalom Kibanda akiwa ofisini kwake, Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, leo Ijumaa , tarehe 27,Juni 2025.

Wachimbaji Wadogo Dodoma Wapatiwa Mafunzo ya Usalama, Afya na Utunzaji wa Mazingira Migodini

_Mafunzo yanalenga kukuza uchimbaji salama, endelevu na wenye tija katika sekta ya madini ya shaba_ *Dodoma, Juni 27 2025* Wachimbaji wadogo kutoka migodi ya shaba iliyopo katika Mkoa wa Dodoma wamepatiwa mafunzo maalum kuhusu usalama mahali pa kazi, afya, utunzaji wa mazingira na usimamizi wa shughuli za uchimbaji.  Mafunzo hayo ni sehemu ya jitihada za kuimarisha uchimbaji salama na endelevu nchini. Mafunzo hayo yamewahusisha wachimbaji kutoka Mgodi wa Shengde uliopo Nala, Mgodi wa Hussein Pilly uliopo Tambi (Wilaya ya Mpwapwa) na Mgodi wa Canada uliopo Chamkoroma (Wilaya ya Kongwa) ambapo yamewezeshwa na Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP) kwa kushirikiana na Tume ya Madini. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo, Mhandisi Chacha Megewa kutoka Tume ya Madini ameeleza kuwa ni muhimu kwa wachimbaji kufanya kazi katika mazingira salama kwa kutumia vifaa kinga kama kofia ngumu, reflekta, buti, gloves na barakoa (maski). "Ulipuaji wa baruti ni mojawapo ya shughuli...