Ripoti ya awali ya uchunguzi kuhusu kuuwawa kwa Saif Al-islam Gaddafi imetolewa mapema leo asubuhi baada uchunguzi uliofanyika kutokana na uchunguzi wa kina wa kitabibu "Autopsy". Ripoti hiyo imetolewa na kamati ya uchunguzi ya bunge, inaonesha kuwa Idadi ya risasi zilizoingia kwenye mwili wa Saif Al-islam Gaddafi zilikuwa risasi 19, na risasi zilizotolewa mwilini kwake zimeonesha silaha iliyotumika katika mauaji yake ni silaha aina ya Kalashnikov, ni siraha ya kirusi. Moja ya risasi zilizo mpata ni pamoja na iliyo penya kichwani kwa Saif Al-islam Gaddafi, ambayo ilimpiga juu ya nyusi yake, yani juu ya jicho la kushoto na kutokae kwa nyuma. Muda ambao mashambulizi ya mauaji yake yaliyo pelekea kifo chake ilikuwa ni saa 05:57 PM saa za Libya. Kabla nyumba yake kuvamiwa na wauaji kwanza, saa moja na nusu nyuma walinzi wake wote waliondolewa karibu na makazi yake Saif Al-islam, na kubakia yeye pekee yake. Yani saa moja na nusu kabla ya tukio la uvamizi kutokea walinzi wote wali...
Marato tv - Sauti ya Jamii