Na Mwandishi wetu Jovina Massano. Mkoa Kigoma umekuwa ukipokea wakimbizi wengi kwa miaka mingi kumekuwa na utumiaji mwingi wa nishati ya kuni hali iliyopelekea uharibifu wa mazingira. Mara baada ya kupata maelezo mafupi katika banda la Vi Agroforestry kutoka kwa Afisa ufuatiliaji na tathmini Stella Msami kuwa hivi sasa kuna mradi wa miaka mitatu utakaopelekea vijana wengi kujifunza hivyo amemtaka mgeni rasmi kupendekeza mkoa ambao utakuwa ni mmojawapo wa wanufaika wa mradi huo. Amesema Stella kutokana na uwepo wa mradi huo wa kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi tutajitahidi kufikisha ujumbe wa upandaji miti kwa mkoa pendekezwa ukizingatia kwamba upandaji miti ndio nguzo pekee itakayosaidia kukabili mabadiliko ya tabia nchi. Kwa Upande wake Katibu Tawala mkoa wa Mara Gerald Musabila Kusaya amelitaka shirika la Vi Agroforestry kuongeza juhudi za upandaji miti Mkoa wa Kigoma kutokana na uwepo wa historia ya matumizi makubwa kuni. " Tunakwenda kupanda miti kule Kigoma kwa sab...
Marato tv - Sauti ya Jamii