Skip to main content

Posts

Showing posts from March 3, 2025

@marato_tv

@marato_tv
#sauti_ya_jamii

Mbunge Sagini awakosha Vijana wa Butiama

Mbunge wa Jimbo la Butiama na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini amewataka vijana kuendelea kumuamini ili azidi kuwafungulia milango ya fursa ambayo itapelekea kupata ajira na kujiimarisha kiuchumi. Akizungumza katika Kikao cha Baraza la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Butiama kilichofanyika katika Ukumbi wa Kanisa la Romani Katoliki Nyamisisye Kata ya Kukirango, Wilaya ya Butiama mkoani Mara leo Februari 3, 2025 Mhe. Sagini amesema kuwa tangu alipochaguliwa kuwa mbunge amekuwa akishirikiana na vijana kutatatua changamoto zao. "Vijana wa Butiama ni mashuhuda tosha kuwa sijawahi kuwa juu na mara zote  jambo lao huwa ni langu ndio maana tumefanikiwa kuwafungulia fursa kupitia matamasha mbalimbali pia na miradi  inayoendelea ndani na nje ya Jimbo la Butiama," amesema Mhe. Sagini Akizungumza awali Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Butiama Ndg. Mathayo Kitenyi amempongeza Mbunge Sagini kwa kuwajali kwa...

Mbunge Sagini Awakosha Vijana ya Butiama

Rais Samia Afuturisha Watoto Yatima wa Wenye Mahitaji Maalum

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afuturisha Watoto Yatima na Watoto wenye mahitaji Maalum, Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 3 Machi, 2025. Watoto yatima pamoja na watoto wenye mahitaji maalum wakiwa kwenye Iftar iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salaam 03 Machi, 2025. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na baadhi ya watoto wenye mahitaji maalum kwenye Iftari aliyowaandalia Ikulu Jijini Dar es Salaam 03 Machi, 2025.