Skip to main content

Posts

Showing posts from October 1, 2026

@marato_tv

@marato_tv
#sauti_ya_jamii

TANGA YAIVA KUWA KITOVU CHA MAFUTA AFRIKA MASHARIKI, KAMPUNI YA UINGEREZA YAKABIDHIWA ENEO

  Na Mashaka Mhando, Tanga Tanga imepiga hatua nyingine kuelekea kuwa kitovu tanga yaiva kuwa kitovu cha mafuta afrika mashariki, kampuni ya uingereza yakabidhiwa eneo cha biashara na usambazaji wa mafuta katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, baada ya Kampuni ya Ushauri ya Worley Consulting Group kutoka Uingereza kukabidhiwa rasmi eneo litakalofanyiwa upembuzi yakinifu kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta (Refinery) na miundombinu ya kuhifadhia nishati hiyo. Makabidhiano hayo yaliyofanyika Leo Oktoba Mosi katika eneo la Chongoleani jijini Tanga, yameongozwa na Timu ya Pamoja ya Kitaalamu (JTT) kutoka Tanzania na Uganda, ikiwa ni mwendelezo wa ushirikiano wa kimkakati kati ya nchi hizo mbili wenye lengo la kuimarisha usalama wa nishati na kurahisisha usambazaji kwa nchi zisizo na bandari. Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo, Kamishna Msaidizi wa Mkondo wa Kati na Chini wa Mafuta kutoka Wizara ya Nishati (Tanzania), Grace Mwakasege, alisema mradi huo utaipandi...

RC MAKALLA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KATIBU MKUU WA BUNGE LA DUNIA, BALOZI ANDA

 *_Asema Arusha ipo tayari kuwa mwenyeji wa bunge la dunia_*  . *_Aeleza kukamilika kwa maandalizi ya Bunge hilo_*  . *_Balozi Anda apongeza maandalizi yaliyofanyika_*  . *_Amshukuru Rc Makalla kwa ushirikiano wake katika maandalizi ya IPU_* Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla, amemuhakikishia Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Balozi Anda Cristina Filip kuwa Mkoa wa Arusha uko tayari na maandalizi yote yamekamilika kwa ajili ya Mkutano wa 153 wa Bunge la Dunia (IPU) utakaofanyika Tanzania kwa mara ya kwanza kuanzia Oktoba 05 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano AICC. Akizungumza leo Alhamisi, Oktoba 01, 2026, ofisini kwake Jijini Arusha wakati alipokutana na Balozi Anda, Mhe. Makalla akisema Mkoa umejiandaa kwa muda mrefu na umeweka usalama kuwa kipaumbele kikubwa, huku akisisitiza kuwa taasisi mbalimbali zimeendelea kushirikiana kuhakikisha mkutano huo unafanyika na kumalizika kwa mafanikio. Kwa upande wake Balozi Anda amemshukuru Mh...

TANGA YAIVA KUWA KITOVU CHA MAFUTA AFRIKA MASHARIKI, KAMPUNI YA UINGEREZA YAKABIDHIWA ENEO

 Na Mashaka Mhando, Tanga TANGA imepiga hatua nyingine kuelekea kuwa kitovu kikubwa cha biashara na usambazaji wa mafuta katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, baada ya Kampuni ya Ushauri ya Worley Consulting Group kutoka Uingereza kukabidhiwa rasmi eneo litakalofanyiwa upembuzi yakinifu kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta (Refinery) na miundombinu ya kuhifadhia nishati hiyo. Makabidhiano hayo yaliyofanyika Leo Oktoba Mosi katika eneo la Chongoleani jijini Tanga, yameongozwa na Timu ya Pamoja ya Kitaalamu (JTT) kutoka Tanzania na Uganda, ikiwa ni mwendelezo wa ushirikiano wa kimkakati kati ya nchi hizo mbili wenye lengo la kuimarisha usalama wa nishati na kurahisisha usambazaji kwa nchi zisizo na bandari. Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo, Kamishna Msaidizi wa Mkondo wa Kati na Chini wa Mafuta kutoka Wizara ya Nishati (Tanzania), Grace Mwakasege, alisema mradi huo utaipandisha hadhi Tanga kuwa kituo kikuu cha kupokea, kuhifadhi, na kusambaza bidhaa za mafu...

MAGEREZA WANAWAKE YAIBOMOA NGOME JWTZ 3 - 0 YATWAA UBINGWA BAMMATA 2026

  Na. S'sgt Mawazo Mtondo – MWANZA Timu ya mpira wa wavu wanawake ya Jeshi la Magereza imehitimisha kwa kishindo ushiriki wake katika Mashindano ya Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) 2026, baada ya kuibuka na ushindi wa seti 3–0 dhidi ya timu ngumu ya Ngome ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Mchezo huo, uliokuwa wa ushindani mkubwa ukihusisha mbinu, mipango na umakini wa hali ya juu kutoka kwa pande zote mbili, umefanyika leo Oktoba 1, 2026 katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Ushindi huo umeiwezesha timu ya wanawake ya Kanda ya Magereza kutwaa ubingwa wa mpira wa wavu wanawake BAMMATA 2026, baada ya kuonyesha kiwango bora katika michezo yake yote. Katika michezo yake ya awali timu hiyo, iliifunga Polisi wanawake kwa seti 3–0, kabla ya kuendeleza kasi hiyo kwa kuichapa timu ya SMZ kwa seti 3–0. Katika mchezo mwingine, Magereza iliibuka na ushindi wa seti 3–1 dhidi ya JKT Tanzania. Matokeo hayo yameifanya timu ya wanawake ya Kanda ya Magereza kuma...

RC MAKALLA MEETS, HOLDS TALKS WITH IPU SECRETARY GENERAL AMBASSADOR ANDA

 By Prosper Makene  Arusha Regional Commissioner Hon. CPA Amos Gabriel Makalla has assured the Secretary General of the Inter-Parliamentary Union (IPU), Ambassador Anda Cristina Filip, that the Arusha Region is ready and all preparations have been completed for the 153rd Assembly of the World Parliament (IPU), which will be held in Tanzania for the first time starting October 05 at the Arusha International Conference Centre (AICC). Speaking today, Thursday, October 01, 2026, in his office in Arusha when he met with Ambassador Anda, Hon. Makalla said the region has been preparing for a long time and has made security a top priority, while emphasizing that various institutions have continued to collaborate to ensure the assembly is held and concludes successfully. For her part, Ambassador Anda thanked Hon. Makalla for the warm reception and cooperation provided by the Arusha Region, while commending the extensive preparations that have been made and explaining that the assembly ...