Skip to main content

Posts

@marato_tv

@marato_tv
#sauti_ya_jamii

Samia asema kuanza kwa Tren ya mizigo SGR kutaimarisha Tanzania kuwa lango la biashara Afrika Mashariki

Rais Samia Suluhu Hassan, amesema kwa usafirishaji mizigo katika reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) pamoja na mambo mengine, kutaimarisha nafasi ya Tanzania kama lango la biashara katika Jumuia ya Afrika Mashariki. Rais Samia ametoa kauli hiyo Juni 27, 2025 alipokuwa anahitimisha shughuli za bunge Jijini Dodoma, akitoa mrejesho wa utekekezaji wa majukumu ya serikali na yale iliyoahidi kufanya hususani kwenye sekta ya uchukuzi.

Wachimbaji wa Shaba Waaswa Kujiunga Vikundi Kunufaika na Fursa za Maendeleo

_Mpwapwa, Dodoma – Juni 28, 2025_ Wachimbaji wadogo wa madini ya shaba wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma wametakiwa kujiunga katika vikundi ili waweze kunufaika na fursa mbalimbali zinazotolewa na Mradi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP), unaolenga kuwaendeleza wachimbaji wadogo wa madini ya kimkakati, ikiwemo shaba. Wito huo umetolewa na Mhandisi Chacha Megewa kutoka Tume ya Madini, wakati wa utoaji wa elimu kwa wachimbaji katika mgodi wa Minosphere, maarufu kama mgodi wa Majuto, uliopo Kijiji cha Kitati. Akizungumza na wachimbaji hao, Mhandisi Megewa amesema kuwa ni muhimu wachimbaji kuunda vikundi vya angalau watu watano, ili waweze kufikiwa kwa urahisi kupitia huduma kama mafunzo, uunganishwaji na taasisi za kifedha, pamoja na upatikanaji wa mikopo inayolenga kuongeza tija katika shughuli zao za uchimbaji. “Uchimbaji salama na wenye tija unahitaji ushirikiano na uratibu mzuri. Kupitia vikundi, wachimbaji watapata nafasi kubwa zaidi ya kunufaika na fursa za kitaifa na k...

Mkoa wa Kagera waweka mkakati wa kudhibiti magonjwa ya mlipuko

SERIKALI mkoani Kagera imewaagiza viiongozi wote kuanzia ngazi ya Wilaya hadi vijiji kuhakikisha wanafuatilia kikamilifu mipango ya kampeni za Afya zinazofanyika katika meneo yao, ili kufikia malengo ya Serikali ya kuhakikisha kila mtu anapata kinga hususani chanjo mbalimbali zinazotolewa na Serikali. Amesema mkoa huo unapakana na nchi nyingi za Afrika Mashariki hivyo kupata maambukizi au magonjwa ya mlipuko kutoka sehemu moja kwenda nyingine ni rahisi kama taratibu za kinga hazijafuatwa. Hayo yameelezwa na mkuu wa Wilaya ya Muleba Abel Nyamahanga alipomwakilisha mkuu wa mkoa huo Hajati Fatma Mwassa katika mafunzo ya siku moja kwa watumishi wa idara ya Afya wa ngazi mbalimbali na viongozi mbalimbali wa mkoa huo yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa mkoa ambapo,aliwashauri wataalam wa idara ya Afya kuendeleza juhudi zao katika kuhamamsisha kazi zote za kinga hasa chanjo,usafi wa mazingira na mazoezi ya utayali kwa kukabiliana na milipuko ya magonjwa. Pia amewashuari wataalama wa ...

Minister Mavunde Officiates Madini Bonanza, Championing Unity in The Minerals Sector

_Dodoma, Tanzania – June 28, 2025_ The Minister for Minerals, Hon. Anthony Peter Mavunde, has officially inaugurated the much-anticipated Madini Bonanza at the John Merlin Grounds in Dodoma, kicking off a spirited gathering that brings together institutions under the Ministry of Minerals to promote teamwork, health, and unity through sports. Officiating the opening ceremony, Hon. Mavunde emphasized that the event goes beyond competition, symbolizing the Ministry’s commitment to building strong inter-institutional relationships and fostering a positive, collaborative work environment across the minerals sector. “This Bonanza is more than just a sports event. It is a reflection of the solidarity, discipline, and energy that drive the success of our mineral sector,” said Hon. Mavunde. “We are building a culture of unity and wellness that strengthens our institutions and the people behind them.” Participating institutions include the Mining Commission, State Mining Corporation (STAMICO), G...

Balozi Nchimbi Ateta na Absalom Kibanda Jijini Dodoma

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. John Emmanuel Nchimbi akizungumza jambo na Mwandishi mkongwe, Mwenyekiti Mstaafu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF),Ndugu Absalom Kibanda akiwa ofisini kwake,  Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, leo Ijumaa , tarehe 27,Juni 2025.

Balozi Nchimbi Akuteta na Absalom Kibanda Jijini Dodoma

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. John Emmanuel Nchimbi akizungumza jambo na Mwandishi mkongwe, Mwenyekiti Mstaafu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF),Ndugu Absalom Kibanda akiwa ofisini kwake, Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, leo Ijumaa , tarehe 27,Juni 2025.