Rais wa Mkutano wa 153 wa IPU na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), amekutana na wajumbe wa umoja wa kundi la Kijografia na Kisiasa (12 Plus Group).
Mazungumzo yao yamelenga kuratibu sera, mitazamo, na msimamo mbalimbali inayojadiliwa kwenye mkutano wa 153 wa IPU.
Mazungumzo hayo yamefanyika leo tarehe 8 Oktoba, 2026 katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC).

















Comments
Post a Comment