Waziri Kombo Awasilisha ujumbe Maalumu wa Rais Samia

GEORGE MARATO TV
0


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amewasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Rais wa Jamhuri ya Djibouti Mhe. Ismaïl Omar Guelleh wa nchi hiyo.

Mheshimiwa Kombo amewasilisha ujumbe huo wakati wa sherehe za uapisho wa Mheshimiwa Rais Guelleh zilizofanyika Mei 09, 2026 jijini Djibouti.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top