Rais Samia arejea Mchini kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu

GEORGE MARATO TV
0



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakati akitokea Dubai, tarehe 6 Februari, 2026. alipokuwa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).

Mhe. Rais Dkt. Samia alishiriki katika Mkutano wa Dunia wa Serikali (World Governments Summit – WGS) 2026 pamoja na Uzinduzi wa Jukwaa la Kimataifa wa Uwekezaji Afrika (GAIS)._______

#TanzaniaNaUwekezaji

#DiplomasiaYaKiuchumi

#KaziNaUtuTunasongaMbele

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top