Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu wa Ndugu Kassim Majaliwa leo Februari 16, 2025 ni mgeni rasmi kwenye Mkutano Mkuu Maalum Chama cha Mapinduzi Jimbo la Maswa Mashariki, mkoani Simiyu.
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.