Balozi Dkt. Nchimbi ateta na Kadinali Rugambwa

GEORGE MARATO TV
0


*SALAAM KWA KARDINALI*

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora, Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa, akizungumza na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi. 

Mazungumzo hayo yalifanyika Ijumaa, Desemba 20, 2024, wakati Balozi Nchimbi alipofika kumsalimia Kardinali Rugambwa, ofisini kwake, Uaskofuni, mjini Tabora,



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top