Awahutubia wananchi gizani... WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Juni 18, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uzinduzi wa kiwanda cha uchenjuaji madini ya Shaba cha MAST kilichopo Chunya mkoani Mbeya. Akizungumza katika tukio hilo ambalo limehudhuriwa ma mamia ya wananchi,, Mheshimiwa Majaliwa amesema Serikali kwa kutambua umuhimu wa uwekezaji kwa maendeleo ya taifa, imeendelea kuimarisha mazingira ya biashara na uwekezaji nchini kupitia Mpango wa Kuboresha Mazingira ya Biashara na Uwekezaji
Marato tv - Sauti ya Jamii