Na MASHAKA MHANDO, Pangani. RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itajenga Kiwanda Kikubwa cha Sukari ya viwandani eneo la Bandarini Jijini Tanga ili kujitosheleza na mahitaji hapa nchini na kupunguza matumizi ya Dola. Aliyasema hayo jana mjini Pangani wakati wa ziara yake ya Wilayani Pangani baada ya kuweka jiwe la Msingi Kwenye barabara ya Tanga-Pangani pamoja na daraja la Mto Pangani ambalo litakuwa mkombozi Mkubwa Kwa wananchi. Alisema malighafi ya kiwanda hicho itatokea wilaya ya Pangani kutokana na kwamba wilaya hiyo inakwenda kubadilika kutokana na kuja na kilimo kikubwa cha Miwa ndani ya wilaya hiyo. "Pangani inabadilika na itaendelea kubadilika kwa sababu tunakwenda kuja na kilimo kikubwa cha miwa shamba likalokuwa pembeni ya mto Pangani na Kiwanda kikubwa cha sukari ya viwandani kujengwa Tanga-Dkt Samia* cha sukari kitajengwa Tanga Jiji"Alisema Rais Dkt Samia " Tuna Viwanda vingi vya sukari lakini sukari ya viwanda...
Marato tv - Sauti ya Jamii