Mbunge Ghati Aiwakilisha Kamati Ya Kudumu Ya Bunge Ya Miundombinu Kwenye Uzinduzi Wa Safari Za Atcl Dar-iringa
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe.Ghati Zephania Chomete, Amemwakilisha Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu katika Uzinduzi wa Safari za Shirika la Ndege (ATCL) kutoka Dar Es Salaam kwenda Iringa baada ya ukarabati mkubwa kukamilika katika uwanja huo wa Ndege wa Iringa (Iringa Airport)