Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akisafiri kwa Treni ya Kisasa ya Umeme ya SGR kutoka Dar es Salaam kuelekea Morogoro leo tarehe 21 Machi 2026.
Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Maji, yatakayofanyika mkoani Morogoro, kesho tarehe 22 Machi 2026.


