Azania Bank imeshiriki katika maonesho ya Nanenane mwaka huu katika mikoa ya Dodoma, Morogoro, Mbeya, Mwanza, Simiyu, Tabora na Zanzibar. Maonesho hayo yalihitimishwa kitaifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan jijini Dodoma.
Azania Bank imetumia maonesho hayo kutoa elimu ya masuala ya ufugaji msaada na namna benki hiyo inaweza kuwakomboa wakulima, wapitia huduma mbalimbali chini ya kauli mbiu yake ya 'Benkika Kidijitali Mpaka Shambani' ambapo mkulima anaweza kupata huduma za kibenki hata akiwa shambani kwa kutumia simu yake mkononi.





Comments
Post a Comment