Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema itaongeza thamani na katika Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara Idara za Serikali(SHIMIWI) ili kuongeza ari na hamasa ya michezo nchini.
Hayo yamesemwa leo Septemba 26, 2026 Mkoani Kilimanjaro na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda wakati wa ufunguzi wa mashindano hayo ambapo amesema pamoja na zawadi za Vikombe pia zitatolewa pesa taslimu kwa timu, na mchezaji mmojammoja aliyefanya vizuri.






Comments
Post a Comment