Skip to main content

Posts

@marato_tv

@marato_tv
#sauti_ya_jamii

SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Juni 8, 2026 ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. Kikao hicho kimewakutanisha mawaziri wa Serikali kwa ajili ya kujadili na kufanya maamuzi kuhusu masuala mbalimbali ya maendeleo ya taifa, uchumi na ustawi wa wananchi, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu ya Serikali katika kuendelea kuimarisha huduma na maendeleo nchini.

TAKUKURU YAFICHUA MRADI WA SHULE ULIOKWAMA KWA SABABU YA NeST

     NA MASHAKA MHANDO, Tanga TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Tanga, imefichua kukwama kwa miaka miwili kwa mradi wa madarasa na vyoo katika Shule ya Sekondari Chongoleani Jijini Tanga. Mradi huo wa thamani ya Sh. 93,816,506, ulishindwa kuanza utekelezaji tangu fedha zilipotolewa Machi 4, 2024 kutokana na kasoro kubwa za kiutawala na mfumo wa manunuzi wa halmashauri ya Jiji la Tanga. Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Tanga, Ramadhani Ndwata, aliwaambia waandishi wa Habari ofisini kwake Leo Juni 8 2026 wakati wa kutoa taarifa ya utendaji wa robo ya kwanza ya mwaka (Januari–Machi, 2026), ambapo alisema uingiliaji kati wa taasisi hiyo umeokoa hasara ya jumla ya Sh. 116,216,506 katika sekta ya elimu.  Uchunguzi wa TAKUKURU ulibaini kuwa, makadirio ya bei ya vifaa vya ujenzi wa madarasa hayo mawili yalikuwa chini ya bei halisi ya soko, hali iliyosababisha mfumo wa manunuzi wa kielektroniki wa Serikali (*NeST*) kukataa zabuni zote na kukwamisha maendeleo...

lTAKUKURU YAFICHUA MRADI WA SHULE ULIOKWAMA KWA SABABU YA NeST

    NA MASHAKA MHANDO, Tanga TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Tanga, imefichua kukwama kwa miaka miwili kwa mradi wa madarasa na vyoo katika Shule ya Sekondari Chongoleani Jijini Tanga. Mradi huo wa thamani ya Sh. 93,816,506, ulishindwa kuanza utekelezaji tangu fedha zilipotolewa Machi 4, 2024 kutokana na kasoro kubwa za kiutawala na mfumo wa manunuzi wa halmashauri ya Jiji la Tanga. Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Tanga, Ramadhani Ndwata, aliwaambia waandishi wa Habari ofisini kwake Leo Juni 8 2026 wakati wa kutoa taarifa ya utendaji wa robo ya kwanza ya mwaka (Januari–Machi, 2026), ambapo alisema uingiliaji kati wa taasisi hiyo umeokoa hasara ya jumla ya Sh. 116,216,506 katika sekta ya elimu.  Uchunguzi wa TAKUKURU ulibaini kuwa, makadirio ya bei ya vifaa vya ujenzi wa madarasa hayo mawili yalikuwa chini ya bei halisi ya soko, hali iliyosababisha mfumo wa manunuzi wa kielektroniki wa Serikali (*NeST*) kukataa zabuni zote na kukwamisha maendeleo ...

TAKUKURU YAFICHUA MRADI WA SHULE ULIOKWAMA KWASABABU YA NeST

   NA MASHAKA MHANDO, Tanga TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Tanga, imefichua kukwama kwa miaka miwili kwa mradi wa madarasa na vyoo katika Shule ya Sekondari Chongoleani Jijini Tanga. Mradi huo wa thamani ya Sh. 93,816,506, ulishindwa kuanza utekelezaji tangu fedha zilipotolewa Machi 4, 2024 kutokana na kasoro kubwa za kiutawala na mfumo wa manunuzi wa halmashauri ya Jiji la Tanga. Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Tanga, Ramadhani Ndwata, aliwaambia waandishi wa Habari ofisini kwake Leo Juni 8 2026 wakati wa kutoa taarifa ya utendaji wa robo ya kwanza ya mwaka (Januari–Machi, 2026), ambapo alisema uingiliaji kati wa taasisi hiyo umeokoa hasara ya jumla ya Sh. 116,216,506 katika sekta ya elimu.  Uchunguzi wa TAKUKURU ulibaini kuwa, makadirio ya bei ya vifaa vya ujenzi wa madarasa hayo mawili yalikuwa chini ya bei halisi ya soko, hali iliyosababisha mfumo wa manunuzi wa kielektroniki wa Serikali (*NeST*) kukataa zabuni zote na kukwamisha maendeleo ya wan...

TAKUKURU YAFICHUA MRADI WA SHULE ULIOKWAMBA KWASABABU YA NeST

 NA MASHAKA MHANDO, Tanga TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Tanga, imefichua kukwama kwa miaka miwili kwa mradi wa madarasa na vyoo katika Shule ya Sekondari Chongoleani Jijini Tanga. Mradi huo wa thamani ya Sh. 93,816,506, ulishindwa kuanza utekelezaji tangu fedha zilipotolewa Machi 4, 2024 kutokana na kasoro kubwa za kiutawala na mfumo wa manunuzi wa halmashauri ya Jiji la Tanga. Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Tanga, Ramadhani Ndwata, aliwaambia waandishi wa Habari ofisini kwake Leo Juni 8 2026 wakati wa kutoa taarifa ya utendaji wa robo ya kwanza ya mwaka (Januari–Machi, 2026), ambapo alisema uingiliaji kati wa taasisi hiyo umeokoa hasara ya jumla ya Sh. 116,216,506 katika sekta ya elimu.  Uchunguzi wa TAKUKURU ulibaini kuwa, makadirio ya bei ya vifaa vya ujenzi wa madarasa hayo mawili yalikuwa chini ya bei halisi ya soko, hali iliyosababisha mfumo wa manunuzi wa kielektroniki wa Serikali (*NeST*) kukataa zabuni zote na kukwamisha maendeleo ya wanafunzi ...

SERIKALI YAINGIA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO NA DIT KUIMARISHA USIMAMIZI WA MAAFA

 Na, mwandishi wetu – Dar es Salaam SERIKALI kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) imeingia Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) na Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Salaam (DIT) yenye lengo la kuimarisha usimamizi wa maafa nchini kwa kutumia sayansi, teknolojia na ubunifu. Akizungumza mapema hii leo (08 Juni, 2026) katika hafla ya utiaji saini wa makubaliano hayo Katibu Mkuu wa ofisi hiyo, Dkt. Jim Yonazi, amesema hatua hiyo ni utekelezaji wa dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kujenga mifumo madhubuti ya kiutendaji inayoongozwa na maarifa, sayansi na teknolojia ikiwemo matumizi ya Akili Unde (AI) katika kukabiliana na maafa. Amesema makubaliano hayo yanatekeleza pia mapendekezo ya Mkutano wa Nane wa Umoja wa Mataifa wa Jukwaa la Dunia la Upunguzaji wa Vihatarishi vya Maafa uliofanyika Geneva, Uswisi, mwezi Juni 2025, na yanaashiria mabadiliko ya kimkakati katika namna Serikali inavyoshughulikia changa...