Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Juni 8, 2026 ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Kikao hicho kimewakutanisha mawaziri wa Serikali kwa ajili ya kujadili na kufanya maamuzi kuhusu masuala mbalimbali ya maendeleo ya taifa, uchumi na ustawi wa wananchi, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu ya Serikali katika kuendelea kuimarisha huduma na maendeleo nchini.


Comments
Post a Comment