Dkt.Nchimbi Alivyohitimisha Kampeni Zake Mkoa wa Njombe

GEORGE MARATO TV
0


PICHA za matukio mbalimbali za mkutano wa hadhara wa kampeni wa Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk Emmanuel Nchimbi  uliofanyika mjini Makambako, mkoani Njombe alipokuwa akihitimisha mikutano yake kampeni mkoani humo leo Septemba 24, 2025.

Mara baada ya kuwahutubia Wanachi katika mkutano huo,Dkt.Nchimbi pia alitumia nafasi hiyo kumnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Makambako Ndugu Daniel Godfrey Chongolo pamoja na Madiwani.

Dk Nchimbi naendelea kusaka kura za Mgombea urais wa chama hicho, Dkt. Samia Suluhu Hassan, wabunge na madiwani pamoja na kunadi Ilani ya CCM ya mwaka 2025 - 2030
















Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top