RAIS SAMIA AKUTANA NA WAWEKEZAJI WAKUBWA NCHINI CHINA

GEORGE MARATO TV
0



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Wawekezaji na Viongozi wa Makampuni mbalimbali ya China Academy of Space Corporation (CASC), China Electronics Corporation, Transsion Group, Weihua Group, China Railway Construction Corporation (CRCC) pamoja na Acme Consultant Engineers PTE Limited na CND jijini Beijing, China tarehe 06 Septemba, 2024.






 

Mhe. Rais yupo nchini China kwenye ziara ya kikazi ambapo alishiriki kwenye Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC).

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top