Skip to main content

@marato_tv

@marato_tv
#sauti_ya_jamii

Waziri mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na katibu mkuu wa umoja wa mataifa Antonio Guterres

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres kabla ya ufunguzi rasmi wa Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79), Jijini New York, Marekani Septemba 24, 2024. Wengine kwenye picha ni Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Amina Mohammed na kushoto ni Afisa Mkuu wa Masuala ya Umoja wa Mataifa Courtenay Rattray. 

UN Photo

Comments