Rais Samia Atangaza Kifo Cha David Cleopa Msuya
May 07, 2025
0
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kifo cha aliyewahi kuwa Makamu wa kwanza wa Rais na Waziri Mkuu,Cleopa David Msuya kilichotokea majira ya saa tatu za asubuhi ya leo Jumatano,Mei saba Mwaka 2025 katika Hospitali ya Mzena Jijini Dar-es-salaam.
Share to other apps
