Kituo cha Cha habari za Mtandaoni Cha George Marato TV leo Julai 24,2024 kimekuwa ni miongoni mwa vyombo vya habari vilivyopata mwaliko wa mapokezi ya Meli vita tatu za Jeshi la Uukombozi wa watu wa China.
George Marato Mkurugenzi Mtendaji wa George Marato Tv ni Miongoni Mwa wawakilishi wa Vyombo Vya habari hapa Nchini vilivyopata mwaliko Kushuhudia Mapokezi hayo Katika bandari ya Dar es Salaam.
Ujio wa meli vita hizi tatu ni kutoka Jeshi la ukombozi la watu wa China inatokana na ushirikiano ulipo na jeshi la ulinzi wa wananchi Tazania JWTZ ikiwa ni sehemu ya ushiriki wao wa maadhimisho ya miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Jwtz



Comments
Post a Comment