Julai 16, 2026, mwandishi Fern McErlane alichapisha makala maalum inayotukumbusha gharama kubwa na chungu ya vita vya wenyewe kwa wenyewe vya miaka 11 nchini Sierra Leone. Pichani, ni mabinti warembo kabisa—sawa na wale tunaowaona hapa kwetu Tanzania—lakini mmoja hana mguu na mwingine hana mkono, na wapo wengi Sierra Leone waliopitia mateso haya. Haya ni majeraha ya moja kwa moja ya ujinga wa wachache waliochezea amani ya nchi yao. Picha nyingine ni timu ya mpira wa miguu ya vijana, wakicheza kwa mguu mmoja #kemeaUjingaTunzaAmani.

Comments
Post a Comment