MWENYEKITI wa Taifa wa ACT Wazalendo, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, Leo Ijumaa ya Tarehe 17 Julai 2026, akiambatana na mke wake Mama Zainab Kombo Shaib, amefika na kumjulia hali Sheikh Rashid Hamad Othman (kaka yake), anayepatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan, Jijini Dar es Salaam.
Mheshimiwa Othman yupo Jijini Dar es Salaam kwa ziara Maalum ya Kikazi na kijamii.





Comments
Post a Comment