Leo Julai 10,2029, Viongozi pamoja na watendaji wa Taasisi isiyo ya kiserikali SMAUJATA ( Shujaa wa maendeleo na ustawi wa jamii Tanzania) Wamefika katika ofisi ya mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Evans Mtambi kwaajili yakumsalimia pamoja na kumueleza kuhusu ziara yao mkoa wa Mara yenye lengo kutoa elimu ya kupinga ukatili kwa watoto, wanawake na wababa mkoani hapo yenye kauli mbiu isemayo " Kataa ukatili, wewe ni shujaa", wakiwa wameambatana na wawakilishi vya mikoa mingine iliyopo kanda ya Ziwa.

Comments
Post a Comment