Waziri Mkuu Ashiriki Ibada ya Jumapili Katika Kanisa la Kkkt (Dmp), Usharika wa Azania Front

GEORGE MARATO TV
0


WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameshiriki ibada ya Jumapili, leo, Aprili 26, 2026, katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP), Usharika wa Azania Front, jijini Dar es Salaam.

Ibada hiyo iliongozwa na Katibu wa Umoja wa Utume wa Injili (United Evangelical Mission - UEM) Kanda ya Afrika, Dkt. Ernest Kadiva, kwa kushirikiana na Mchungaji Kiongozi wa KKKT Usharika wa Azania Front, Victor Makundi.







Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top