Waziri Kitila Aendelea Kuitangaza Tanzania Nchini China

GEORGE MARATO TV
0

 


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo akihutubia Kongamano la Uwekezaji la Weihai katika Jimbo la Shandong. 

Prof. Mkumbo amesisitiza kuwa katika kutekeleza Dira 2050, Tanzania inalenga kuwa na uchumi unaotegemea maarifa na ushindani wa kimataifa. Ili kufikia lengo hilo amewahimiza wawekezaji wa China kutotumia mtaji pekee, bali kuleta ujuzi wa mifumo ya kisasa ya teknologia.





Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top