Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani na Kampeni ya Upandaji Miti Kitaifa, itakayofanyika mkoani Lindi, kesho tarehe 19 Machi 2026.
Rais wa Jamhuri ya Kenya Mh William Rutto na mke wake wamewasili nchini China kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa Jukwaa la ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC). Katika ziara hiyo ameambatana na waziri mkuu mstaafu wa nchi hiyo Raila Odinga ambaye pia anapigiwa kampeni ili aweze kushinda nafasi ya Uenyekiti wa AU.







Comments
Post a Comment