Nimefanya ziara ya kutembea familia za viongozi wastaafu siku ya leo. Ziara imekuwa na mafanikio makubwa. Serikali ya Awamu ya Sita imeendelea kuwa karibu na familia hizi kwa mujibu wa Sheria inayosimamia viongozi hawa.
Katika ziara hii leo, nimepata nafasi ya kutembelea familia ya Hayati Dr. Omar Ally Juma, Dr. salim Ahmed Salim na Hayati Edward Lowasa.






Comments
Post a Comment