Dkt. Mwigulu Anazungumza na Machinga, Madereva Pikipiki na Bajaji

GEORGE MARATO TV
0


WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 08, 2026 anazungumza na Wamachinga, madereva pikipiki na bajaji za kubeba abiria katika kongamano la mwaka linalofanyika kwenye kituo  cha mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini (JNICC) Dar es Salaam.





Kongamano hilo lina lengo la kuwakutanisha wadau wote wakuu wa sekta ya wamachinga na usafirishaji wa pikipiki na bajaji ili kutafakari  mustakabali wa kazi zao katika maendeleo ya jamii na Taifa letu.




Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top