WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Oktoba 04, 2025 amewasili nchini Malawi kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye uapisho wa Rais Mteule wa Malawi Peter Mutharika uliofanyika katika uwanja wa Kamuzu, Blantyre nchini humo.
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.



