wa Msama Promotions Ndugu Alex Msama amesema kulingana na utafiti ambao nchi nzima, Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan ndiye anayependa zaidi kuliko Wagombea wa vyama vingine zaidi ya 16 vilivyosimamisha Wagombea Urais katika Kampeni za Mwaka huu.
Msama amaesema Watanzania zaidi ya Milioni 60 wanampenda Dkt. Samia na wapiga kura zaidi ya Milioni 25 wameahidi kumchagua katika Uchaguzi wa tarehe 29, ila Watanzania Milioni 1 tu ndio wanaojifanga hawampendi mitandaoni kwa sababu ya kusikiliza propaganda za uongo kutoka kwa wasioipenda mazuri nchi yetu.






Comments
Post a Comment