MGOMBEA mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi Dkt.Nchimbi Kuwahutubia Wananchi Sumbawanga Mjini kwenye uwanja wa Majengo,Jimbo la Sumbawanga mjini kwa ajili ya kuwahutubia Wananchi kwenye mkutano wake wa Kampeni leo Septemba 9,2025 mkoani Rukwa.
Rais wa Jamhuri ya Kenya Mh William Rutto na mke wake wamewasili nchini China kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa Jukwaa la ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC). Katika ziara hiyo ameambatana na waziri mkuu mstaafu wa nchi hiyo Raila Odinga ambaye pia anapigiwa kampeni ili aweze kushinda nafasi ya Uenyekiti wa AU.
















Comments
Post a Comment